GET /api/v0.1/hansard/entries/953068/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 953068,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953068/?format=api",
"text_counter": 98,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Watoto wa Kenya tunawapenda lakini kuna wengi ambao wana matatizo mbalimbali. Mimi nimesomea Lamu Kusini. Serikali imesema watoto wakitoka shule ya msingi waende wote kwenye shule za sekondari lakini kuna sehemu nyingine kule Lamu Kusini, kama wadi ya Basuba, ambako hakuna shule."
}