GET /api/v0.1/hansard/entries/953619/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 953619,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953619/?format=api",
"text_counter": 368,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": {
"id": 13509,
"legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
"slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka kutoa rambirambi zangu binafsi na za Eneo Bunge la Wundanyi kwa mwenzangu, Mhe. Kiarie, na wazazi wa shule ambayo ilipata mkasa jana na watoto saba wakaaga dunia. Natoa pole zangu."
}