GET /api/v0.1/hansard/entries/953621/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 953621,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953621/?format=api",
    "text_counter": 370,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "Mwisho, tunapoangazia suala hili, lazima pia tuangalie ugavi wa pesa zinazotengwa na Bunge kujenga shule. Hii ni kwa sababu sehemu nyingi nchini hazifikiwi na pesa hizi. Lazima wizara ilete ripoti kwa Bunge hili kusema ni vipi pesa hizo zinatumika Kenya nzima. Kuna sehemu nyingi tu ambazo hazioni pesa hizi. Naunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Mhe. Sossion. Asante."
}