GET /api/v0.1/hansard/entries/953979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 953979,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953979/?format=api",
"text_counter": 89,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwanza nina wakaribisha wanafunzi katika kikao hiki cha mwisho cha Seneti hapa Kaunti ya Kitui kabla ya kurudi makao yake makuu jijini Nairobi. Ninawaomba watie bidii katika masomo kwa sababu bila masomo, hawatafika hapa."
}