GET /api/v0.1/hansard/entries/953981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 953981,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953981/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, mahali wanapoka ni chumba chenye urefu wa futi 10 kwa 10 ambapo wafungwa zaidi 100 wanalala. Hili ni jambo linalo dunisha maisha ya binadamu. Hii ni kwa sababu binadamu zaidi ya 100 hawapaswi kulala ndani ya chumba chenye ukubwa wa futi 10 kwa 10. Sisi Maseneta tuliguzwa moyo na tukachanga takribani Kshs80,000 kulipa faini ya baadhi ya wafungwa hao ili warudi nyumbani. Wafungwa 15 waliachiliwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}