GET /api/v0.1/hansard/entries/953983/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 953983,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953983/?format=api",
"text_counter": 93,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Lazima mahakama ziwe macho kwa sababu utapata unawekewa dhamana kwa makoso madogo ambayo familia yako haiwezi kupata. Wale mabwanyenye wanaoshtakiwa na makosa makubwa wanapewa bondi ndogo ambazo wanalipa kwa urahisi. Masikini wanao shitakiwa katika makama nyingi wanapewa bondi kubwa ili wakose kulipa na warudi gerezani."
}