GET /api/v0.1/hansard/entries/953986/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 953986,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953986/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mwisho ni kwamba tume elezwa kipande cha ardhi cha jela hii ya Kitui kimenyakuliwa na mabwanyenye wa kibinafsi. Ukiwa ndani ya jela, utaona jengo lenye ghorofa tano linaloongalia ndani ya jela. Haipaswi kuwa hivi kwa sababu ya usalama wa jela hilo na pia wafungwa kwa sababu hilo jengo linazidi ghorofa nne na ukuta wa jela ni ghorofa. Kwa hivyo usalama wa wafungwa na wale waliomo katika jela hiyo umo hatarini kwa sababu hatujui ni nani atakayekuja katika jumba lile linaloangalia ndani ya jela."
}