GET /api/v0.1/hansard/entries/953987/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 953987,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/953987/?format=api",
"text_counter": 97,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kama Kamati ya Haki, Sheria na Haki za Binadamu, tutarudi kuangalia mambo haya kwa undani zaidi. Hata hivyo, maswala kama haya hasa mahakama na ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka lazima wawe proactive na kuhakikisha kwamba wananchi wanapata haki zao. Katiba imewalizimisha kulinda haki za wananchi. Kwa hivyo mwananchi yeyote hatakiwi kudhulimiwa kwa sababu yuko gerezani."
}