GET /api/v0.1/hansard/entries/954222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 954222,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954222/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ninampongeza dada yangu, Sen. (Dkt.) Zani, kwa kuleta Mswada huu ambao umekuja katika wakati mwafaka. Utalii ndio ulikuwa msingi wa uchumi wa Kaunti za Pwani, kama vile, Lamu, Kilifi, Mombasa, Kwale na Taita-Taveta. Lakini, kwa miaka sasa, utalii umeshuka na watalii wengi ambao tunapata ni ndugu zetu kutoka sehemu za bara. Wao ndio wanasafiri Mombasa kama watalii wa ndani kwa ndani wakitumia Reli ya Standard Gauge Railway (SGR) au ndege."
}