GET /api/v0.1/hansard/entries/954224/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 954224,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954224/?format=api",
    "text_counter": 334,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, hatujakuwa na ubunifu katika mambo ya utalii. Kwa mfano, hapa Kitui, tulielezwa kwamba kuna mlima ambao ukizunguka mara saba kama wewe ni mwanamme unageuka mwanamke na kama wewe ni mwanamke unageuka mwanamme. Mlima huo unaitwa Nzambani Rock. Lakini, hatukuona mapango yote barabarani kama vile, barabara kuu ya kuelekea Nairobi, Mombasa, Mwingi au Thika kuonyesha ya kwamba kuna mlima unaitwa Nzambani Hills ambao una historia ya mambo mazuri The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}