GET /api/v0.1/hansard/entries/954226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 954226,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954226/?format=api",
    "text_counter": 336,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, katika maeneo ya Pwani kama vile Lamu, kuna maswala ya ukosefu wa usalama na madawa ya kulevya ambayo yamechangia pakubwa kuua utalii. Wengi wa watalii wanataka kupata fursa wajumuike na wananchi wa kawaida na watembee barabarani jioni. Lakini, ikiwa hakuna usalama, watalii hawataweza kutembea. Kama kuna vijana wanaotumia madawa ya kulevya, watalii hawatapata fursa ya kutembea na kujionea vile wenyeji wanaishi."
}