GET /api/v0.1/hansard/entries/954228/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 954228,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954228/?format=api",
    "text_counter": 338,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mafunzo ya utalii pia yamerudi chini katika nchi ya Kenya. Pwani kunajengwa chuo kikuu cha utalii katika maeneo ya Kilifi lakini mpaka sasa, miaka saba kutoka ujenzi uanze, hatujaona mwelekeo wote wa chuo hicho."
}