GET /api/v0.1/hansard/entries/954229/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 954229,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954229/?format=api",
    "text_counter": 339,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kifungu cha 14 kinatoa fursa kwa waziri mhusika wa maswala ya utalii katika kaunti kufanya kanuni kuhusiana ni vipi atakeleza sheria hii. Lakini, kwa sababu tuna kaunti 47, kwamba kila kaunti itakuwa na kanuni zake, tutakuwa na kanuni 47. Hiyo kwa hakika, itakuwa nikurudiarudia mambo yale ambayo yanafanyika katika kaunti zetu. Kwa hivyo, ningependekeza kwamba waziri mhusika wa utalii aweze kutengeneza kanuni hizo na azipeleke katika kaunti nyingine na zipitishwe kama sheria."
}