GET /api/v0.1/hansard/entries/954230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 954230,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/954230/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kifungu cha 15 kinasema kuwa serikali za kaunti kupitia bunge za kaunti zitunge sheria kama hii ili ziweze kutumika katika kaunti zile. Hiyo pia itakuwa kurudia mambo yale yale. Ingekuwa bora kwamba iweze kuchukuliwa na serikali za kaunti na iwe sheria ambayo itatoa mwongozo kwa maswala ya utalii katika kauti zetu."
}