GET /api/v0.1/hansard/entries/955553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 955553,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/955553/?format=api",
"text_counter": 402,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Pia mimi nilikuwa katika hiyo harakati ambayo wakili ama kiongozi, Sen. Sen. Orengo, aliposema kwamba ingekuwa bora kusuluhisha jambo hili kuhusu wale ambao majina yao yameandikwa hapa, kwa heshima ya hili Bunge. Nimekuwa katika Bunge kuanzia mwaka wa 2013. Kwa hivyo ingekuwa heshima kubwa ikiwa hao ambao wako katika hii list, badala ya sisi kupoteza wakati mkubwa, wajiondoe wenyewe ili sisi tupate nafasi. Hata sasa hivi, tunaweza kuchaguana hapa ndani; wote wanatosha."
}