GET /api/v0.1/hansard/entries/956133/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 956133,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/956133/?format=api",
    "text_counter": 382,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante. Ningependa kuchukua fursa hii kuunga mkono Mswada huu na vilevile kumpongeza pakubwa Mbunge aliyeuleta hapa kwa sababu suala la ajira ni suala nyeti. Aliyeuleta Mswada huu amelenga masuala ya akina mama wanaofanya kazi, haswa wakati wanapojifungua na namna watakavyopata nafasi ya kupumzika watakapokuwa wakiwalea watoto wao."
}