GET /api/v0.1/hansard/entries/956134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 956134,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/956134/?format=api",
"text_counter": 383,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ukweli ni kwamba Waheshimiwa wengi wanaposimama kuchangia Mswada huu wanazungumzia neno “ajira” kwa ujumla katika nchi hii. Ukweli ni kwamba ile hali ya ajira katika nchi hii ni hali ambayo inahitaji kupewa kipaumbele tunapojadili kuhusu suala hili."
}