GET /api/v0.1/hansard/entries/956138/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 956138,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/956138/?format=api",
"text_counter": 387,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ningependa kusema kwamba serikali zote za kaunti 47 ni vizuri ziwe na data ya kuonyesha ni vijana wangapi hawana kazi na wanaohitaji kazi na kiwango chao cha masomo, ili nchi hii iwe na mwongozo mwema."
}