GET /api/v0.1/hansard/entries/957049/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 957049,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957049/?format=api",
    "text_counter": 484,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, pesa hizi ni za umma na zinapofika katika kaunti zetu, ni lazima zikuhakikisha wananchi wanapata huduma. Ni jambo la kusikitisha sana kwamba pesa hizi zinapofika, baada ya muda fulani, unasikia kuna mambo mengi ambayo yanafanyika katika kaunti hizo; mojawapo ikiwa Kaunti ya Kwale. Kwa hivyo, kama Seneta wa Kwale, naunga mkono Mswada huu. Tutapitisha Mswada huu lakini magavana wetu wajue kwamba pesa hizi zikifika zitatumiwa kutoa huduma kwa wananchi."
}