GET /api/v0.1/hansard/entries/957160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 957160,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957160/?format=api",
"text_counter": 595,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nalinganisha ule mchezo tunaoona katika Bunge letu la Kitaifa na Serikli kuu na ule mchezo wa paka na panya. Naona kana kwamba wanachezea wananchi shere. Hatuwezi kuyarudia mambo haya siku nenda, siku rudi tukiwaeleza wasome sheria vizuri. Ndio maana hivi leo nimeamua niongee Kiswahili; labda wataelewa Kiswahili kwa sababu inaonekana imekuwa vigumu kwao kusoma Katiba yetu kwa lugha ya Kiingereza."
}