GET /api/v0.1/hansard/entries/957161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 957161,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957161/?format=api",
    "text_counter": 596,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Pareno",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13180,
        "legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
        "slug": "judith-ramaita-pareno"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, leo tunagawa Kshs316.5 bilioni kwa kaunti. Kama alivyosema Sen. Ochillo-Ayacko, naona kwamba tunahitaji kuwapa kichapo cha mbwa. Kichapo hiki sio kile cha fimbo, kwa sababu sisi Wamaasai tunajua sana kuchapana kwa fimbo. Kichapo ninachoongelea sio kama hicho, lakini ni kupitia kwa njia ya sheria."
}