GET /api/v0.1/hansard/entries/957162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 957162,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957162/?format=api",
"text_counter": 597,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, naona kwamba Seneti hii itasikika zaidi na tutafanya haki zaidi kwa wananchi iwapo tarehe nane na tarehe kumi na nane mwezi wa Kumi kule kortini, tutaongea zaidi kuhusu yale ambayo ni ya halali na yale ambayo sio halali. Yale halali ni yale tunayoypitisha leo; yaani kupitisha mgao wa pesa kwa kaunti. Yale ambayo sio halali ni yale ambayo yalifanywa kabla hatujapitisha sheria hii."
}