GET /api/v0.1/hansard/entries/957166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 957166,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957166/?format=api",
"text_counter": 601,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Kaunti ya Kajiado imetengewa Kajiado kima cha Kshs7,050,983,282. Wito wangu ni kwamba tunazipa kaunti hela hizi; ndio, tumeng‘ang‘ ania na tuko kortini kwa sababu ya peza hizi. Kwa hivyo, hatungetaka kusikia tena kwamba hakuna maji, hospitali au basari. Kwa hivyo, tunaomba kwamba ili tuweze kugawa pesa hizi vizuri, tungependa kuona kwamba wamefanya kazi vizuri. Jambo la mwisho, Bw. Naibu Spika, naipongeza Kamati iliyofanya kazi hii kwa kutupatia Ripoti---"
}