GET /api/v0.1/hansard/entries/957181/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 957181,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957181/?format=api",
    "text_counter": 616,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Tana River, kwa sababu, tumeanzia katika kaunti ambazo zimeendelea sana. Ningependelea mje Tana River pia muone vile kunakaa. Kama hamtashindwa kukaa katika hoteli zetu, tutawapeleka Mombasa. Lakini mimi nina imani kwamba mnaweza kuja kukaa na sisi huko Tana River na tuendelee. Sisi ni marafiki wa watu wa Kitui na nimeongea na Seneta kuhusu mambo kidogo kidogo yaliyo pale na tutayatatua na kila kitu kitakuwa sawa. Ninajua sehemu ya Tana River iko na watu wengi wa Kitui kuliko watu wa Tana River. Asante, Bw. Naiba Spika. Naunga mkono Mswada huu."
}