GET /api/v0.1/hansard/entries/957216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 957216,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/957216/?format=api",
    "text_counter": 651,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "kuangaliwe mahitaji ya assembies ili wasije wakapewa pesa zinazozidi mahitaji yao. Seneti inafaa iangalie utumiaji wa pesa katika ugatuzi ili baada ya miakia 10 ama 20, yale maeneo yaliyoachwa nyuma kimaendeleo wasije kuachwa nyuma tena kwa sababu ya utumizi mbaya wa pesa zinazoenda kwa ugatuzi. Asante."
}