GET /api/v0.1/hansard/entries/959578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 959578,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/959578/?format=api",
"text_counter": 348,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Miradi nyingi inayofanywa katika Jamhuri yetu ya Kenya, iwe ni ya barabara au ujenzi wa majumba, yote inahitilafiana na mazingira yalivyo wakati inapoanza. Vile vile, hakuna juhudi yoyote ambayo inafanywa kwa sasa kisheria kuhakikisha kwamba yale mazingira yanaregeshwa kama vile yalivyokuwa kabla ya mradi kuanza. Azimio hili litasaidia pakubwa kulazimisha wanakandarasi kuhakikisha kwamba wameyarejesha mazingira kama vile walivyoyapata kabla ya kuanza mradi ule."
}