GET /api/v0.1/hansard/entries/959579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 959579,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/959579/?format=api",
    "text_counter": 349,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, vile vile, azimio hili litasaidia pia kupunguza ukosefu wa kazi kwa vijana na akina mama kwa sababu wataweza kupata fursa ya kutengeneza vipandio vya miche na vile vile, kupewa kazi ya kupanda miti katika ile miradi ambayo itafanywa na wanakandarasi katika maeneo tofauti tofauti."
}