GET /api/v0.1/hansard/entries/959585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 959585,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/959585/?format=api",
    "text_counter": 355,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mradi huu umekuja katika wakati mwafaka. Itakuwa bora ikiwa wale ambao watahusishwa nakutekeleza watahakikisha kwamba wanakandarasi wote wanalazimishwa kupanda miti ili mazingira yetu yawe bora. Katika kila sehemu ya nchi, kwa sasa kuna mradi ambao unafanyika na Serikali. Itabidi tutoe masharti ya kwamba ni lazima mwanakandarasi apande miti anapomaliza kufanya mradi. Hii inamaanisha kwamba katika kila sehemu ya nchi yetu tutaongeza eneo ambalo lina misitu na miti mizuri ambayo tumeipoteza itarejea katika jamii yetu. Litakuwa ni funzo kwa vijana wetu ambao tunatarajia kwamba watarithi yale mazingira."
}