GET /api/v0.1/hansard/entries/959588/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 959588,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/959588/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ingekuwa bora zaidi kwamba ile Kshs9 billion ambayo tulikuwa tumesema iondolewe katika Medical Equipment Scheme iongezewe katika ile Kshs316.5 billion ili tuweze kupata Kshs325 billion ziende katika Kaunti. Hata hivyo haikuwezekana. Ninafikiri askari mzuri ni yule ambaye anaishi kupigana vita vingine kuliko kuuliwa katika vita."
}