GET /api/v0.1/hansard/entries/960299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 960299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/960299/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza ninamshukuru Sen. Shiyonga kwa kuleta Statement hii kwa sababu kila uchao kuna ajali barabarani. Saa zingine ajali hizo hazisababishwi na madereva bali zinatokana na ukosefu wa nidhamu wa kuwekewa alama za hatari barabarani. Kwa hivyo, hii isitumike tu kule Wabuye na kwingineko bali Kenya nzima. Palipo na milima, mabonde, miteremko na mito pawekwe alama za hatari. Alama hizo zinafaa kuonyesha watu kama kuna daraja, mteremko au hatari nyingine ya aina yoyote. Kwa sasa, kama ugonjwa mkubwa hapa Kenya si saratani, basi ni ajali za barabarani ambazo zinatumaliza. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}