GET /api/v0.1/hansard/entries/960300/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 960300,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/960300/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ningependa KeNHA ambayo ina mamlaka ya kutengeneza barabara humu nchini izingatie mambo haya. Hususan ningependa kuzungumzia barabara ya kutoka Mombasa kuelekea Kilifi. Ukishapita Mtwapa hadi Malindi, hakuna alama ya hatari hata moja ilhali barabara hiyo inapanuliwa. Watu wengi wamepoteza maisha katika mlima wa Mbogolo. Tunafaa kutahadharishwa na hatari kama hizo. Ninamuunga mkono Sen. Shiyonga kwa kuleta Statement hii. Hata hivyo, ningependa barabara hiyo ipanuliwe ili kuwe na maendeleo katika taifa nzima la Kenya."
}