GET /api/v0.1/hansard/entries/960431/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 960431,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/960431/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "hakuna usalama katika nchi tunazopakana nazo. Kwa hivyo, ni vizuri tuchukulie Mswada huu kwa hali ambayo inafaa, na sisi wenyewe tuunge mkono. Nataka kumpongeza Seneta Khaniri kwa kuleta Mswada Huu. Asante, Bi. Spika wa Muda."
}