GET /api/v0.1/hansard/entries/961683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 961683,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/961683/?format=api",
"text_counter": 523,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lungalunga, JP",
"speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Mwanzo kabisa, jambo ambalo limenifurahisha katika Ripoti hii ni kuwa tumempatia fursa yule ambaye alikuwa Mbunge katika Bunge hili na pia Mbunge wa EALA. Inamaanisha kuwa ikiwa Wabunge wamemaliza muhula wao wa uwakilishi, wanaweza kupata nafasi ya kuwakilisha katika nyanja mbalimbali ambazo ni za Serikali. Mhe. Ochieng’ kulingana na makaratasi yake, ni mtu ambaye yuko na ufasaha kulingana na elimu yake ya kuuza bidhaa ama"
}