GET /api/v0.1/hansard/entries/961686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 961686,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/961686/?format=api",
"text_counter": 526,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lungalunga, JP",
"speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Suala hili la uvuvi ni suala ambalo sasa hivi linapatiwa kipau mbele kwa sababu ni mojawapo ya agenda 14 ya Sustainable Millennium Goals of the Blue Economy . Kukiwa na halmashauri ya kuendesha masuala haya basi niko na imani uvuvi utaweza kufika kiwango kile ambacho hakijawahi kuwa katika nchi yetu ya Kenya. Mwenyekiti huyu pia iwapo atachaguliwa, imani yangu ni kuwa kulingana na ujuzi wake kama mwekezaji wa uvuvi, atachaguliwa. Niko na imani katika uongozi wake. Atakuwa na fikira nzuri ya kuelekekeza masuala ambayo yatafika meza zao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}