GET /api/v0.1/hansard/entries/962624/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 962624,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/962624/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": "Nitasema kwa ufupi kwamba namshukuru Mhe. (Daktari) Tum, kwa kuleta Hoja hii. Huu ndio wakati mwafaka wa kuongelea masuala ya saratani kwa sababu tumepoteza wenzetu kwa sababu ya saratani. Kila mtu apimwe saratani; sio vijana ama wasichana pekee. Hata wazee na akina mama wapimwe pia. Serikali inafaa iwekeze zaidi kwa masuala ya saratani ili tuweze kupata madaktari na wauguzi wenye ufahamu wa mambo ya saratani na tuwe na vifaa thabiti vya kuweza kutusaidia katika matibabu. Pia, kutengwe pesa kwa ajili ya…"
}