GET /api/v0.1/hansard/entries/963162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 963162,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963162/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Nataka kuchukua fursa hii kuunga mkono Taarifa hii iliyoletwa na Seneta wa Mombasa. Ni ukweli mtupu kuwa tukiondoa hiyo shughuli ya watu kupewa vibali kutoka Mombasa na kuileta Nairobi, hii itafanya vijana wa sehemu ile kukosa kazi kwa sababu hii shughuli inatendeka Mombasa. Itasababisha vijana waliokuwa wakifanya ile kazi kuwa walalahoi. Kwa hivyo, ni vizuri wakati Serikali inapotarajia kufanya jambo lolote, izingatie jinsi inavyowaathiri watu wa sehemu ile. Jambo lingine ni ya kwamba ikiwa tuna Kaunti 47, tunafaa tuzipatie zote kipaombele kwa sababu Mombasa ndipo kuna ziwa na mambo yote yanatendeka huko. Hata Kaunti ya Laikipia inafaa ipewe kipaombele kwa mambo ya mifugo badala ya kusema shughuli zote zitafanyika katika Mji wa Nairobi. Haja kubwa ya kuwa na kaunti ni kuleta huduma karibu na wananchi. Lakini ikiwa huduma zote zitaletwa Nairobi---"
}