GET /api/v0.1/hansard/entries/963164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 963164,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963164/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Nitachukua dakika moja tu. Kusema ukweli jambo hili ni shida kubwa sana. Wenye malori wanalia Mombasa, mabohari ni matupu. Hii shughuli ya kutoa vibali ikiondolewa huko Mombasa, wasafirishaji hawa watafanya kazi gani? Naunga mkono taarifa hii iliyoletwa na Mhe. Faki. Ningehimiza kwamba ile Kamati ambayo itachunguza jambo hili ihakikishe kwamba usawa umetendeka. Sitaki kusema mengi kwa sababu umenipa dakika moja. Asante, Bw. Naibu Spika."
}