GET /api/v0.1/hansard/entries/963288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 963288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963288/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu wa ukumbi wa umaarufu yaani, County Hall of Fame Bill . Mswada huu umekuja wakati mwafaka ambao siku zilizopita tumepoteza watu kadhaa maarufu, wakiwemo Francis Kadenge ambaye alikuwa ni mchezaji mahiri wa mpira wa kandanda. Bi. Spika wa Muda, tumeona katika Serikali Kuu kuna sheria ambayo inaangazia maswala ya ukumbi wa umaarufu. Tumeona pia wakati wa sherehe za kitaifa, wengi hupewa tuzo za kitaifa kupitia sheria hiyo. Mswada huu utazipa nafasi serikali za kaunti kutoa tuzo kwa wale ambao wamebobea katika nyanja tofauti. Itakuwa ni jambo kubwa sana kuweza kusaidia kuwatambua na vile vile kuwatuza kwa zile kazi zao nzuri wameweza kufanya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}