GET /api/v0.1/hansard/entries/963289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 963289,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963289/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, tumeona pia kwamba, katika uchaguzi wa wale ambao watapewa tuzo katika sherehe za kitaifa, kamati husika mara nyingi huangalia mambo kama michezo, utendakazi wa mtu katika ofisi na mengineyo. Haya yote yanachangia pakubwa katika kuchagua ni nani ataweza kupewa tuzo hii. Ninaona katika Mswada huu vigezo fulani ambavyo vimewekwa kuona kwamba wanaochaguliwa ni watu ambao wamebobea katika fani mbali mbali. Bi Spika wa Muda, swala langu kubwa ni kwamba ile kamati ya uchaguzi, yaani"
}