GET /api/v0.1/hansard/entries/963507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 963507,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963507/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika. Nasimama kuunga mkono Tarifa hii. Hii imekuwa kama swala sugu kwa watu wa Tana River. Kila wakati, haya mabawa yanapovuja, yanaenda yanabeba hawa ndugu zetu wa Tana River. Tungependa kujua kwa nini Serikali haiwezi ikachukua hatua mwafaka na hatua ya kudumu ndiposa ndugu zetu ambao wanaishi upande wa chini wa mto wawe na afueni. Tunaskia kwamba kila mwaka hawa ndugu zetu wanapatwa na hili janga la kubebwa na maji. Itakuwa ni jambo nzuri ikiwa Serikali itachukuwa mikakati ambayo itawasaidia ndugu zetu ili waweze kujua wanaishi katika hali ambayo inafaa. Kila mwaka, hili jambo limekuwa likitokea na Serikali inanyamaza ama baada ya watu kuzombwa na maji, unapata Serikali inaenda huko na ndege kuwapelekea watu chakula ilihali jambo kama hilo lingezuiliwa kabla ya kutendeka. Haya mabwawa yako juu na"
}