GET /api/v0.1/hansard/entries/963510/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 963510,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/963510/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kwa hivyo, serikali inafa kuchukua mikakati ya kuduma kwa sababu hatua kubwa ya Serikali ni kulinda maisha ya wananchi. Haifai Serikali kuamka wakati jambo kama hili limetokea. Serikali sasa inapeleka malazi, chakula na vitu vingine, ni kama kwamba jambo la dharura limetokea, ilhali watu hawa wangesaidiwa kabla ya haya maneno kutendeka."
}