GET /api/v0.1/hansard/entries/964657/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 964657,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/964657/?format=api",
"text_counter": 455,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tana River CWR, MCCP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
"speaker": {
"id": 13275,
"legal_name": "Rehema Hassan",
"slug": "rehema-hassan"
},
"content": ") ilikuwa inaanza ule mradi wa kunyunyizia mchele maji, waliweka ukuta mkubwa ambao waliuita band. Ile ni kama imeteremka kidogo. Ninaomba watu wa TARDA wauinue ule ukuta ili wazuie maji yasiingie kwa mashamba na majumba ya watu. Sehemu ya Ziwani, maji yakifurika hata kidogo, yanapenya na kuingia kwa mji. Pia, ningeomba Serikali ijaribu kuziba hiyo barabara ya maji ambayo inapitisha maji saa zote kutoka kwa mto na yanaingia kwa eneo la Ziwani Bakuyu mpaka Garissa."
}