GET /api/v0.1/hansard/entries/965146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 965146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/965146/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ijapokuwa Kaunti ya Mombasa haina madini yoyote, tuna bandari inayosaidia kusafirisha madini. Kwa hivyo, wakaazi wa Mombasa wana haki ya kupata ruzuku zinazotokana na madini. Madini yanayosafirishwa kwa wingi ni Titanium lakini Kaunti ya Mombasa haijafaidika kwa vyovyote kutokana na uchimbaji wa madini. Pesa zote zimekuwa zikiwaendea wawekezaji na Serikali kama kodi. Ipo haja ya kuhakikisha kwamba maelezo haya yamefikishwa katika kamati husika ili kuwe na sheria ya kuhakikisha kwamba pesa zinagawanywa kwa haraka iwezekanavyo."
}