GET /api/v0.1/hansard/entries/965194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 965194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/965194/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii. Ninaunga mkono taarifa ambayo imetolewa na Seneta wa Taita Taveta. Watu wa Taita Taveta huwa wanakufa katika migodi ya dhahabu wakiwa katika harakati ya kutafuta mali asili. Umaskini ni mkubwa sana Taita Taveta. Watu wa Taita Taveta bado hawajawezeshwa kufaidika na mali yao asili. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}