GET /api/v0.1/hansard/entries/966515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 966515,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966515/?format=api",
    "text_counter": 14,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza ninakushukuru sana kwa sababu ya makaribisho yako mema kwa ndugu zangu kutoka Kilifi, ambao wanaongozwa na Mhe. Kadenge, akiwemo Kamlesh na wale ndugu zangu wote walioko kule juu. Nakuunga mkono na kukushukuru sana kwa makaribisho haya."
}