GET /api/v0.1/hansard/entries/966522/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 966522,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966522/?format=api",
    "text_counter": 21,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Olekina",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 407,
        "legal_name": "Ledama Olekina",
        "slug": "ledama-olekina"
    },
    "content": "La pili ni kwamba, maneno ya mazingira ni maneno ya muhimu sana. Ningependa kuwasihi muyatilie maanani, kwanza ikiambatana na ule Mto wa Sabaki. Mara kwa mara, watu wanavamia ule mto na kutoa mchanga wa kujengea nyumba na kuharibu mazingira. Ninapajua pale kwa sababu niko na shamba ndogo kule. Kwa hivyo, lazima mtilie maanani na mpitishe sheria ambazo zitahifadhi mazingira yetu."
}