GET /api/v0.1/hansard/entries/966523/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 966523,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966523/?format=api",
"text_counter": 22,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Ni vizuri kwamba mmekuja hapa ili muweze kuchambua Kanuni na maadili ya Seneti. Kwa hivyo, mkirudi Kilifi, mtawaelezea watu yale mmeona Kamati za Seneti zikifanya. Mambo ambayo inapitishwa na Kamati iko na nguvu katika Katiba ya Kenya."
}