GET /api/v0.1/hansard/entries/966524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 966524,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966524/?format=api",
"text_counter": 23,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Ninawasihi mchambue Ripoti ya Building Bridges Initiative (BBI) na mjiulize kama watu wa Kilifi, ni mambo gani ambayo yamewakera kwa muda mrefu na mko na suluhu gani. Tumeona ya kwamba, kuna shida ndio maaana tunasema hiyo Ripoti haikutufurahisha. Kwa hivyo, ni lazima tutatoa maoni yetu ikipeleke Kenya mbele."
}