GET /api/v0.1/hansard/entries/966525/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 966525,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966525/?format=api",
    "text_counter": 24,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Haji",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ninajiunga na wenzangu kuwakaribisha ndugu zangu kutoka Kilifi. Nimefanya kazi na kuishi na watu wa Kilifi vizuri. Mtoto wangu ambaye ni Director of Public Prosecution (DPP) alizaliwa Kilifi."
}