GET /api/v0.1/hansard/entries/966527/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 966527,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966527/?format=api",
"text_counter": 26,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Haji",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 26,
"legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
"slug": "yusuf-haji"
},
"content": "Kwa hivyo, tunauhusiano mwema na watu wa Kilifi. Isitoshe, Seneta wa Kaunti ya Kilifi anaheshimika na ni rafiki wa kila mtu. Kwa hivyo, watu wa Kilifi walifanya vizuri kumchagua mara ya pili. Wakitaka kumchagua mara ya tatu, nitawaunga mkono. Kwa hayo machache, ninawasalimia watu wa Kilifi kwa jumla."
}